HOW TO APPLY SENSA JOBS AUGUST 2022

HOW TO APPLY SENSA JOBS AUGUST 2022:-Muongozo wa jinsi ya kutuma mombi ya ajira ya muda mfupi  ya sensa ya watu na makazi nchini Tanzania 2022.

Kujisajili Bonyeza hapa

Vitu vya muhimu kuwa navyo katika maombi ya kazi ya sensa ni;

  1. Namba yako ya NIDA
  2. Cheti cha kidato cha nne
  3. Cheti cha kuzaliwa
  4. Passport (picha yako ya pasipoti)

NAMNA YA KUJAZA TAARIFA ZA MAOMBI

  1. Jaza taarifa zako kikamilifu kisha bonyeza kitufe kilichoandikwa Tuma maombi kuwasilisha maombi yako.
  2. Bonyeza kitufe cha OK kuhitimisha kutuma maombi yako
  3. Ukishatuma wasilisha maombi, itakuja fomu ambayo utaisoma kisha utabonyeza kitufe kilichoandikwa pakua ili usainishe

NB; nakili namba ya maombi(username) na namba ya simu uliyotumia wakati wa kuomba maombi.

  1. Ingia kwenye link uliotumia kuomba maombi kisha weka namba yako ya maombi(username) na namba ya simu uliyotumia wakati wa kuomba maombi ili kuhuisha maombi.
  2. Kisha bonyeza kitufe chenye rangi nyekundu kupakua fomu iliyosainiwa NB; Endapo hukufanikiwa kupakua fomu Na.1 katika hatua ya 3 unaweza kupakua fomu hiyo kwa kuingia katika anwani yako Bonyeza link iliyoandikwa fomu Na 1. haijasainiwa kupakia fomu yako ambayo haijasainiwa
  3. Utatokea ujumbe wenye rangi ya kijani, kukutaarifu umefanikiwa kupakua fomu, kisha upande wa kushoto utaona taarifa zimeongezeka kwenye upande wa taarifa za viambatanisho. kisha bonyeza upande wa picha kulia kwao bonyeza kitufe cha sign out ili kutoka nje ya mfumo.

 

Kujisajili Bonyeza hapa